The Journey

Ndani ya Matukio

Matukio ya kila siku yanaendelea kutuelimisha. Viumbe vyote ni vyake na vi sawa. “Kwa nini ikakua hivyo?” ndilo swaIi linaloanzisha ufahamu. Ni swala la kuangalia mema yatakayosababishwa na tukio fulani. Tulenge ndipo…
Hata wanapoongea tunaendelea kusonga mbele. Tunatumia maongezi yao kama kiinua mgongo. Maneno yao yanatupa motisha ya kuendelea na safari. Kila kinachotendeka kina sababu.Tuendelee kuegemea kunakofaa…
Matukio yenye majaribu yanakua yakufurahisha tunapoyapitia na kuelimika. Tunapata nafasi yakuona vile yalituathiri na basi tunaweza kujijua. Tunapojijua, hakuna jambo litakalo tutikisa na tutaweza kufika mahali panapotufaa.
Tusiyadharau matukio yetu ya kila siku kwani yamejaa madini yenye dhamani isiyokadirika. Tuyaangalie matukio ya maisha yetu – ya sasa na yaliyopita. Tutafakari…
Siku hii ya Mashujaa iwe yenye fanaka. Mola aendelee kutubariki.

Standard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s